Ijumaa, 22 Agosti 2014

SHAKIRA ATUHUMIWA KWA KUCOPY NA KU-PEST


6
Sehemu kidogo ya wimbo wa Loca (Spanish version) kutoka kwa mwimbaji Shakira ilikuwa ni kazi ya mtungaji mwingine wa nyimbo anaitwa Ramon Arias Vazquez.
Jaji Alvin Hellerstein alisema toleo la wimbo “Loca” la lugha ya kihispania 2010 lilikiuka haki za umiliki za wimbo wa mwimbaji Ramon Arias Vazquez.
Wimbo huo ulikuwemo kwenye albam yake ya mwaka 2010 ‘Sale el Sol’  na uamuzi unatarajiwa kuelekeza fidia atakayolipwa kwa mlalamikaji
Share:

0 maoni:

MATUKIO YA VIDEO

Kumbukumbu la Blogu

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support

Sample Text