
BBCswahili wameripoti kwamba mtoto huyu kwa sasa anasubiria kufanyiwa upasuaji wa kuumba maumbile yake ya usoni baada ya tukio hili.
Panya walimvamia Erena Yekanyi nyumbani kwao huku mama yake akiwa anafua nguo nje ndipo alipokimbilia ndani kumtazama baada ya kusikia analia, akamkuta anatokwa damu. wamba mtoto huyu kwa sasa anasubiria kufanyiwa upasuaji wa kuumba maumbile yake ya usoni baada ya tukio hili.
Panya walimvamia Erena Yekanyi nyumbani kwao huku mama yake akiwa anafua nguo nje ndipo alipokimbilia ndani kumtazama baada ya kusikia analia, akamkuta anatokwa damu.
0 maoni:
Chapisha Maoni