Ijumaa, 29 Agosti 2014

KINACHOSEMEKANA KUHUSU OMMY DIMPOZ&KIDONI NI#LOVE


jokate_mwegeloSijui kama ni time ya mastar wa Tanzania kuamua kuonyesha wazi mapenzi yao kwa mastar wenzao,hii ni kutoka kwenye meza ya Soudy Brown ambapo kuna stori zimetoka kuhusu uhusiano wa kimapenzi kati ya Jokate na Ommy Dimpoz.
dimpozOmmy Dimpoz alipoulizwa na Soudy Brown kuhusu uhusiano huu mpya amejibu kuwa ‘Ee bwana mi sielewi chochote na hayo maswali unayonambia siyaelewi halafu cha pili mimi sina uhusiano ja Jojo’
‘Jojo ni mshkaji wangu tu mimi ni mwanamuziki na yeye mwanamuziki na ukaribu wetu umetokana na kazi lakini nimeshangaa kidogo watu wanaongea hivyo vitu lakini pia ni msichana mzuri,kuwa na bwana ni kitu cha kawaida’
Share:

0 maoni:

MATUKIO YA VIDEO

Kumbukumbu la Blogu

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support

Sample Text