Alhamisi, 28 Agosti 2014

ULITIZAMA MECHI YA JANA AMBAYO GUNNERSWALIIBUKA KIDEDEA...


Screen Shot 2014-08-28 at 6.47.56 AMAugust 27 2014 Arsenal imepata furaha nyingine baada ya kuichapa Besiktas ambapo ushindi huo umeifanya kuingia kwenye hatua ya makundi Champions League.
Ni goli ambalo lilifungwa na Sanchez kwenye dakika ya 45+1 na lilikaa mpaka mwisho na kufanya game ikaisha kwa ushindi huohuo wa 1-0.
Pamoja na ushindi huo kocha Arsene Wenger asema haikuwa rahisi kushinda hiyo mechi.
Screen Shot 2014-08-28 at 6.49.05 AM

Share:

0 maoni:

MATUKIO YA VIDEO

Kumbukumbu la Blogu

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support

Sample Text