DANCE 100% (1: 00 Usiku) KUELEKEA ROBO FAINALI
Usaili umekamilika, Makundi 16 yamepatikana. Tukiwa tunajiandaa na Robo fainali leo tunajikumbushia yaliyojiri ndani ya viwanja vyote vya Usaili. PiaTunakaa na Majaji wetu kupiga nao stori mbili tatu na kufahamu vizuri na kufahamu mtazamo wao juu ya mashindano ya mwaka huu.
Kati ya hawa majaji watatu, yupi anakuvutia zaidi?
Kama na wewe unaweza kudance 'share' maujuzi yako kupitia #2014Dance100
Jumatano, 13 Agosti 2014
Home »
» WALE WA DANCE 100% KAMA KAWA USAILI UMEKAMILIKA.
0 maoni:
Chapisha Maoni