Jumatatu, 25 Agosti 2014

French Montana ajilaumu kumshirikisha Nicki Minaj kwenye ‘Freaks

Rapper French Montana amesema anajilauma kwa kufanya uamuzi mbaya wa kumshirikisha Nicki Minaj kwenye wimbo wake ‘Freaks’ uliohit sana hasa maeneo ya club
French Montana na Nicki Minaj_full
Akiongeana Biollboard, rapper huyo amesema kuwa huwa hapendi pale anapoenda club kujiachia kila ngoma wanayocheza inakuwa yake.
“When you go to the club and every record they’re playing is yours, you try to go left, and I made that mistake.” Alisema.
Ameeleza kuwa sio yeye tu, lakini hata Jay Z aliwahi kumwambia kuhusu hilo.
“Jay Z told me he once made that same mistake too. Your first album you never know what’s going on with the business and labels. The second one you’re like, ‘F**k this.’ You get the ball in your own court.”
Share:

0 maoni:

MATUKIO YA VIDEO

Kumbukumbu la Blogu

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support

Sample Text