
Wakati hayo yakiendelea kuna ripoti imetoka kwenye gazeti la Mtanzania, ikisema >>bunge hilo sasa kuburuzwa Mahakamani kesho August 19 2014 na chama cha Wanasheria Tanganyika kikitaka Mahakama kuzuia vikao vya bunge hili kuendelea hadi muafaka wa taifa utakapopatikana ili kupata katiba bora kwa Wananchi.
0 maoni:
Chapisha Maoni