Jumatatu, 11 Agosti 2014

RIHANA,NAJISIKIA VIZURI KUPERFOM JUKWAA MOJA NA EMMINEM

rihanna-eminem-grammys-03Kwa sasa Rihanna mwenye miaka 26 yupo kwenye ziara na rapper Eminem ambayo wameipa jina The Monster Tour. Mtandao wa Hollywoodlife kuwa Rihanna anasema kufanya show na Eminem ni kufanya show na Mshindi wa Ukweli. Hii imechukuliwa kama diss kwa Drake na Chris Brown kwani ni wasanii wakubwa waliowahi kuwa na mapenzi na Rihanna.
Rihanna akizungumzia kufanya show na Eminem anasema ni muda mrefu toka amefanya show na ‘ Real Champion ‘ .Monster tour imeanza August 7.
eminem-rihannaKupata Stori, Nyimbo Na Interviews Za  Sammisago.com , Bonyeza
Share:

0 maoni:

MATUKIO YA VIDEO

Kumbukumbu la Blogu

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support

Sample Text