Jumanne, 19 Agosti 2014

PICHA ZA MAWE YALIYOPOROMOKA NA KUUWA NDUGU ZETU WANNE HUKO MWANZA.........


Screen Shot 2014-08-19 at 9.04.45 AMNi wiki moja tu imepita baada ya kuondoka Mwanza nilikokwenda kwa ajili ya Tour ya Fiesta inayoendelea kwenye mikoa mbalimbali Tanzania ambapo mara zote ambazo nimekua nikiitembelea Mwanza, kila nikitazama watu walivyojenga pembeni au karibu ya mawe makubwa milimani huwa maswali hayaniishi.
Mara zote ninapoitembelea Mwanza Kwenye kumbukumbu zangu sikumbuki kama niliwahi kusikia kuporomoka kwa haya mawe lakini kama Bindamu niliwahi kuwa na hofu hiyo.
Natoa pole sana kwa ndugu waliopoteza ndugu zao wanne baada ya mvua kunyesha kisha nyumba zao kuporomokewa na haya mawe makubwa maeneo ya Mabatini Sinai mtaa wa Nyerere A.
Screen Shot 2014-08-19 at 9.04.53 AM
Screen Shot 2014-08-19 at 9.05.00 AM
Screen Shot 2014-08-19 at 9.05.07 AM
Screen Shot 2014-08-19 at 9.05.16 AM
Screen Shot 2014-08-19 at 9.05.46 AM
Screen Shot 2014-08-19 at 9.05.53 AM
Screen Shot 2014-08-19 at 9.06.00 AM
Screen Shot 2014-08-19 at 9.06.09 AM
Screen Shot 2014-08-19 at 9.06.36 AMNi halali yako kupata habari za ukweli na kwa wakati sahihi.............................
Share:

0 maoni:

MATUKIO YA VIDEO

Kumbukumbu la Blogu

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support

Sample Text