Jumatatu, 18 Agosti 2014

HIZI NDO PICHA MBALIMBALI ZA BIRTHDAY YA DJ WA DIAMOND


13rjKama umewahi kuhudhuria show kadhaa za Diamond Platnumz basi utakuwa umeshasikia jina la Romy Jones ingawa muda mwingine hufupishwa kwa kuitwa Dj RJ,Jumapili ya Aug 17 alikua akisherehekea siku yake ya kuzaliwa.
Tangu wiki iliyopita ianze Kupitia akaunti za watu mbalimbali walikua wakimtakia kila la kheri katika siku yake hiyo ya kuzaliwa ambapo Aug 17 akaamua kufanya party fupi ya kuwaalika baadhi ya watu wa karibu na kusherehekea pamoja kwenye club iitwayo 327.
Miongoni mwa watu waliohudhuria party hii ni pamoja na Diamond Platnumz ambaye kidogo aliperfoam kwa ajili ya watu waliofika kwenye birthday ya ndugu yake Romy Jones.
Hizi ni baadhi ya picha hizo.
16rj
12rj
11rj
5rj
6rj
7rj
8rj
9rj
10rj
4rj
3rj
2rj
1rj
Share:

0 maoni:

MATUKIO YA VIDEO

Kumbukumbu la Blogu

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support

Sample Text