LEO TUNAWALETEA MTU MWINGINE AMBAYE ANACHIPUKIA KWENYE TANSINIA YA MADIRECTOR WA HAPA TANZANIA NDUGU EMANUEL ELIASI. NI DIRECTOR WA MOVIE NA PIA ANAFANYA KAZI ZA KUSHOOT VIDEOZ ZA WASANII MBALIMBALI. NA HIZI NI BAADHI YA PICHA ZAKE NA KAZI ZAKE ANAZOZIFANYA
HAPO AKIWA NA DANGOTE MDOGO,LAST DANGER PAMOJA NA BOB
NA HII NI KAZI YA MR EMMANUEL ELIAS ALIYOFANYA NA MSANII CHIPUKIZI PIA LAST DANGER.....
EXCLUSIVE ANGALIA HAPA......
0 maoni:
Chapisha Maoni