Jumatano, 8 Oktoba 2014

METRO,ARSENAL KUMNASA SAMI KHEDIRA MWAKANI


sami_khediraMetro wameripoti kuwa timu ya Arsenal imekubali kumlipa Sami Khedira £100k kwa wiki na tayari wanategemea kumnasa mjerumani huyu January mwakani.
Manager Arsene Wenger amekuwa akimfukuzia kiungo huyu wa Real Madrid mwenye miaka 27  kwa miezi kadha sasa na huu ndio muda wa kukamilisha dili lao.
Khedira yupo kwenye mwaka wa mwisho wa mkataba wake na Real Madrid inataka £15 milioni  kabla mkataba wake haujaisha akachukuliwa bila malipo.
Share:

0 maoni:

MATUKIO YA VIDEO

Kumbukumbu la Blogu

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support

Sample Text