Rapper wa kike Trina ambaye amehamasisha wasichana wengi zaidi kufanya rap amesema Notorious B.I.G. amemfanya asikilize Hip Hop inayofanywa na wanaume.
Trina ameongelea mahusiano yake na French montana nakusema wimbo wake wa Fuck Love sio ujumbe kwa French Montana na kuwa hana tatizo na familia ya The Kardashian. Kwenye Interview Trina ametaja rapper wake wa kike anaowakubali ambao ni Salt-N-Pepa, Missy Elliott, Queen Latifah, Lil Kim, MC Lyte na Roxanne Shante.













0 maoni:
Chapisha Maoni