Jumatatu, 6 Oktoba 2014

Video ya magoli ya Messi na Neymar ya jana usiku – ipo hapa


Screen Shot 2014-10-05 at 12.44.48 PMWakiwa hawajapoteza mchezo wowote katika ligi kuu ya Hispania mpaka sasa huku wakiongoza ligi hiyo, FC Barcelona leo walijitupa uwanjani kupambana na Rayo Vallecano kwenye dimba la Estadio del Rayo Vallecano. Neymar na Messi kwa mara nyingine tena wakaipa Barca Ushindi kwenye La Liga.
Video ya magoli yao ipo hapa chini….



Rayo Vallecano 0-2 Barcelona (All Goals) 04-10... by VideoGreen
Share:

0 maoni:

MATUKIO YA VIDEO

Kumbukumbu la Blogu

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support

Sample Text