Joh Makini ni miongoni mwa wasanii wanaopenda kurekodi nyimbo kadha na kuwa nazo kabatini mpaka muda unapofika wa kuzitoa,I See Me ndio wimbo wa mwisho kutoka kwa Joh Makini, Video ipo tayari na wiki iliyopita alisema inatoka ndani ya mwezi wa Kumi 2014.
Jumatatu, 6 Oktoba 2014
Home »
» BAADA YA I SEE ME MKALI WA HIPHOP JOH MAKINI AINGIA TENA STUDIO KUTULETEA KITU KINGINE SOON.....
0 maoni:
Chapisha Maoni