Jumatatu, 6 Oktoba 2014

MABINGWA WA LIGI YA HISPANIA WACHEZEA KICHAPO TAZAMA ILIVYOKUWA


Screen Shot 2014-10-05 at 12.27.58 PM
Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya Hispania La Liga – klabu ya Atletico Madrid jana imepokea kipigo kikubwa kutoka kwa klabu ya Valencia.
Mpaka kufikia dakika ya 10, Madrid walikuwa wameshafungwa magoli 3-0, magoli yalidumu mpaka mwisho wa mchezo huo. Angalia magoli hayo hapo chini…………………………………


Valencia 3-1 Atlético Madrid (All Goals) 04-10... by VideoGreen
Share:

0 maoni:

MATUKIO YA VIDEO

Kumbukumbu la Blogu

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support

Sample Text