Labda inawezekana hii ikawa mara yetu ya kwanza kusikia upande wa pili wa President wetu wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete ambae tumezoea tu kumuona akihutubia, akijumuika na watu mbalimbali kwenye matukio ya furaha na huzuni lakini kuna mengine hatuyajui kuhusu yeye.
>>> ‘Jambo akiwa halitaki mara nyingi hupenda kusema achana na hilo lakini kama ni mtu kafanya jambo flani sio zuri utamsikia mzee tu anasema huyu mtu bwana achana nae….. maarifa yake madogo, naweza kutoa ushuhuda mbele za watu mzee wangu mimi sio mtu ambae ameishi kwenye mazingira yanayotoa fursa ya matumizi ya lugha ngumungumu kama matusi‘chanzo cha audio: Millardayo.com






















































































