Alexis Sanchez alitangulia kuifungia Arsenal dakika ya 20, kabla ya Leonardo Ulloa kuisawazishia Leicester dakika mbili baadaye.
Ulloa na Jamie Vardy walipoteza nafasi nzuri za kuifungia Leicester kwenye mchezo huo, wakati upande wa Arsenal napo, Aaron Ramsey na Yaya Sanogo nao walikosa ya mabao ya wazi.
Ulloa na Jamie Vardy walipoteza nafasi nzuri za kuifungia Leicester kwenye mchezo huo, wakati upande wa Arsenal napo, Aaron Ramsey na Yaya Sanogo nao walikosa ya mabao ya wazi.
Leicester City nao walikosa magoli mengi ambayo yangewawezesha kupata ushindi dhidi ya vijana wa Arsenal Wenger.
0 maoni:
Chapisha Maoni