Alhamisi, 4 Septemba 2014

DIAMOND KUFANYA SHOW KWENYE UFUNGUZI WA BIG BROTHER.....


DSC_0114Diamond Platnumz ametajwa kuwa kwenye orodha ya wasanii watakao fanya show kwenye uzinduzi wa msimu mpya wa shindano la Big Brother Africa 2014.Uzinduzi huu unafanyika September 7 2014 huko Afrika Kusini.
Fahamu baada ya show yake South Africa Diamond atarekodi kwenye Coke studio Kenya na baadae kwenda Uingereza kwaajili ya Show ya Africa Unplugged
Share:

0 maoni:

MATUKIO YA VIDEO

Kumbukumbu la Blogu

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support

Sample Text