Jumatano, 3 Septemba 2014

HAYA MATONYA ANUSURIKA KUPOKEA KIPIGO KISA MCHEPUKO

Screen Shot 2014-09-03 at 1.54.42 AMYou heard ni sehemu ya show ya XXL ya CloudsFM ambayo inahusu stori kadhaa za mastaa ambazo mara nyingi huwa ziko chinichini sana na huwa sio stori zinazoandikwa au kufikia sana vyombo vya habari ambapo hii ya leo ni kuhusu msanii Matonya aliekwenda kufanya show Turiani kunusurika kushambuliwa chanzo kikidaiwa kuwa Msichana wa mtu.
matonyaa

Share:

0 maoni:

MATUKIO YA VIDEO

Kumbukumbu la Blogu

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support

Sample Text