Jumatano, 3 Septemba 2014

KICHWA KINGINE HIKI KWENYE SOKO LA MUZIKI WA AFRICA MASHARIKI


Screen Shot 2014-09-03 at 1.03.28 AMAnaitwa Rema Namakula maarufu kama Rema alianza kuimba kama back up artist wa staa mwingine wa Uganda aitwae Bebe Cool lakini alitimuliwa kazi baada ya Bebe kumuona kwenye TV akizungumzia muziki wake kitu ambacho Bebe hakuwa anakifahamu.
Mwaka 2013 ndio Bebe alimtimua mtoto huyu wa mwimbaji Halima Namakula na huo ndio ukawa mwanzo wake wa kufanya muziki kama solo artist so bado ni mtu mpya kwenye game ila voco yake na kipaji kwa ujumla vimemnyanyua sana na moja ya hits zake ni hii ‘muchuzi’
Share:

0 maoni:

MATUKIO YA VIDEO

Kumbukumbu la Blogu

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support

Sample Text