Baada ya kusumbuliwa na kesi za kutolipia matumizi ya mtoto wake rapper 50 Cent ameanza kuonyesha mapenzi kwa mtoto wake wa kiume Sire Curtis Jackson. 50 Cent mwenye miaka 39 amemnunulia mtoto wake gari dogo la kuendesha la watoto lenye muonekano kama Mercedez Benz anayeendesha 50 Cent.
Alhamisi, 4 Septemba 2014
Home »
» MAPENZI YA 50 CENT KWA MWANAE YAZIDI NA HIKI NDICHO ALICHO MNUNULIA MWANAE......
0 maoni:
Chapisha Maoni