Alhamisi, 4 Septemba 2014

ULIONA WALICHOKIFANYA FD Q PAMOJA NA STAMINA ON THE SATGE YA MOSHI KWENYE SERENGETI FIESTA..


Screen Shot 2014-09-04 at 8.33.59 AMNi msimu wa dhababu unaoendelea kuusambaza upendo… Tour ya Serengeti Fiesta 2014 inaendelea kwenye mikoa mbalimbali ambapo Ijumaa hii ni hapa 98.6 Musoma na Jumapili ni Shinyanga 87.5 kote huku kukiwashuhudia live kwenye stage wakali kama Nay wa Mitego, Roma, Recho, Nikki wa II, Stamina, Young Killer, Shilole, Chege na Temba na wengine.
Hiki utachokiona kwenye hii video hapa chini kilifanyika Moshi weekend iliyopita ambapo Fid Q na Stamina walifanya suprise na kumuita huyu mrembo kwenye stage, ukishamaliza kuitazama niambie nani katisha.

Share:

0 maoni:

MATUKIO YA VIDEO

Kumbukumbu la Blogu

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support

Sample Text